1 Wakorintho 13:3
Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo hainifai chochote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
4Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni.
Cross References
Matthew 6:1“Jihadharini msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao. La sivyo, Baba yenu aliye mbinguni hatawapeni tuzo.
Matthew 23:5Wao hufanya matendo yao yote ili watu wawaone. Huvaa tepe zenye maandishi ya Sheria juu ya panda la uso na mikononi na hupanua pindo za makoti yao.
Luke 18:28Naye Petro akamwuliza, “Na sisi je? Tumeacha vitu vyote tukakufuata!”
Luke 21:3Basi, akasema, “Nawaambieni kweli, mama huyu mjane ametia zaidi katika hazina kuliko wote.
John 12:43Walipendelea kusifiwa na watu kuliko kusifiwa na Mungu