bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 9 › 1 Wakorintho 9:13
1 Wakorintho 9:13
Je, hamjui kwamba wanaotumikia Hekaluni hupata chakula chao Hekaluni, na kwamba wanaotolea sadaka madhabahuni hupata sehemu ya hiyo sadaka?
Biblia Takatifu
In The King James Version
Do ye not know that they which minister about holy things live of the things of the temple? and they which wait at the altar are partakers with the altar?
In Context
12Ikiwa wengine wanayo haki ya kutazamia hayo kutoka kwenu, je, sisi hatuna haki zaidi kuliko hao? Lakini, sisi hatukuitumia haki hiyo, Badala yake, tumestahimili kila kitu ili tusiiwekee kizuizi chochote Habari Njema ya Kristo.
14Bwana aliagiza vivyo hivyo; wahubiri wa Habari Njema wapate riziki zao kutokana nayo.
Read all of 1 Wakorintho 9
Cross References
1 Corinthians 10:18Chukueni, kwa mfano, Wayahudi wenyewe: kwao, wenye kula vilivyotambikiwa madhabahuni waliungana na hiyo madhabahu.
This Verse In Other Editions
Study 1 Wakorintho 9:13