1 Yohana 3:7
Basi, watoto wangu, msikubali kupotoshwa na mtu yeyote. Mtu atendaye matendo maadilifu ni mwadilifu kama vile Kristo alivyo mwadilifu kabisa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Luke 1:75kwa unyofu na uadilifu mbele yake, siku zote za maisha yetu.
Romans 2:6Siku hiyo Mungu atamlipa kila mmoja kufuatana na matendo yake.
Romans 6:16Mnajua kwamba mkijitolea ninyi wenyewe kama watumwa na kumtii fulani, mnakuwa kweli watumwa wake mtu huyo—au watumwa wa dhambi, na matokeo yake ni kifo, au wa utii, na matokeo yake ni kukubaliwa kuwa waadilifu.
Galatians 6:7Msidanganyike; Mungu hafanyiwi dhihaka. Alichopanda mtu ndicho atakachovuna.