1 Yohana 4:18
Palipo na upendo hapana uoga; naam, upendo kamili hufukuza uoga wote. Basi, mtu mwenye uoga hajakamilika bado katika upendo, kwani uoga huhusikana na adhabu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
19Sisi tuna upendo kwa sababu Mungu alitupenda kwanza.
Cross References
Luke 1:74tukombolewe kutoka adui zetu, tupate kumtumikia bila hofu,
2 Timothy 1:7Kwa maana Mungu hakutupa Roho wa kutufanya tuwe waoga, bali alitupa Roho wa kutujalia nguvu, upendo na nidhamu.
James 2:19Je, wewe unaamini kwamba yuko Mungu mmoja? Sawa! Lakini hata pepo huamini hilo, na hutetemeka kwa hofu.