1 Petro 1:8
Ninyi mnampenda ingawaje hamjamwona, na mnamwamini ingawa hamumwoni sasa. Hivyo, mnafurahi kwa furaha tukufu isiyoelezeka,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
9kwa sababu mnapokea wokovu wa roho zenu ambao ni lengo la imani yenu.
Cross References
Matthew 25:35Maana nilikuwa na njaa nanyi mkanipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi mkanipa maji; nilikuwa mgeni nanyi mkanikaribisha;
John 14:15“Mkinipenda mtazishika amri zangu.
John 14:24Asiyenipenda hashiki maneno yangu. Na neno mlilosikia si langu, bali ni lake Baba aliyenituma.
John 20:29Yesu akamwambia, “Je, unaamini kwa kuwa umeniona? Heri yao wale ambao hawajaona, lakini wameamini.”