1 Timotheo 3:9
wanapaswa kuzingatia kwa dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Holding the mystery of the faith in a pure conscience.
In Context
10Ni lazima kwanza wathibitishwe, na wakionekana kuwa wanafaa, basi, watoe huduma yao.
Cross References
1 Timothy 1:19na ushike imani yako na dhamiri njema. Watu wengine hawakusikiliza dhamiri zao na hivyo wakaiharibu imani yao.
2 John 1:9Asiyezingatia na kudumu katika mafundisho ya Kristo, bali anayakiuka, hana Mungu. Lakini anayedumu katika mafundisho hayo anaye Baba na Mwana.