1 Timotheo 5:22
Usiharakishe kumwekea mtu yeyote mikono kwa ajili ya kumtumikia Bwana. Usishiriki dhambi za wengine; jiweke katika hali safi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Lay hands suddenly on no man, neither be partaker of other men’s sins: keep thyself pure.
In Context
23Usinywe maji tu, bali unywe divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako, kwani unaugua mara kwa mara.
Cross References
Acts 6:6Wakawaweka mbele ya mitume, nao wakawaombea na kuwawekea mikono.
Acts 18:6Walipompinga na kuanza kumtukana, aliyakung'uta mavazi yake mbele yao akisema, “Mkipotea ni shauri lenu wenyewe; mimi sina lawama yoyote juu ya jambo hilo. Na tangu sasa nitawaendea watu na mataifa mengine.”
Ephesians 5:11Msishiriki katika matendo yasiyofaa, ya giza bali yafichueni.
1 Timothy 3:10Ni lazima kwanza wathibitishwe, na wakionekana kuwa wanafaa, basi, watoe huduma yao.
1 Timothy 4:14Usiache kukitumia kile kipaji cha Kristo ndani yako ulichopewa kwa maneno ya manabii na kwa kuwekewa mikono na wazee.
2 Timothy 2:2Chukua yale mafundisho uliyonisikia nikitangaza mbele ya mashahidi wengi, uyakabidhi kwa watu wanaoaminika, ambao wataweza kuwafundisha wengine pia.