The Bible Software
bible.software › 1 Timotheo › 1 Timotheo 6 › 1 Timotheo 6:8

1 Timotheo 6:8

Kwa hiyo basi, kama tunacho chakula na mavazi, tunapaswa kuridhika navyo.

Biblia Takatifu

In The King James Version

And having food and raiment let us be therewith content.

In Context

7Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala hatutachukua chochote.

9Lakini wale wanaotaka kutajirika huanguka katika majaribu, na kunaswa katika mtego wa tamaa nyingi mbaya za kipumbavu, ambazo huwavuta mpaka kwenye uharibifu na maangamizi.

Read all of 1 Timotheo 6

Cross References

Matthew 6:25“Ndiyo maana nawaambieni, msiwe na wasiwasi juu ya chakula na kinywaji mnavyohitaji ili kuishi, wala juu ya mavazi mnayohitaji kwa ajili ya miili yenu. Je, maisha ni chakula tu au zaidi? Na mwili, je, si zaidi ya mavazi?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study 1 Timotheo 6:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← 1 Timotheo 6:71 Timotheo 61 Timotheo 6:9 →