2 Petro 1:20
Zaidi ya hayo, lakini, kumbukeni kwamba hakuna mtu yeyote awezaye kufafanua mwenyewe unabii ulio katika Maandiko Matakatifu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Knowing this first, that no prophecy of the scripture is of any private interpretation.
In Context
Cross References
Romans 6:6Tunajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja na Kristo, ili hali ya dhambi iharibiwe, tusiwe tena watumwa wa dhambi.
Romans 13:11Zaidi ya hayo, ninyi mnajua tumo katika wakati gani: sasa ndio wakati wa kuamka usingizini; naam, wokovu wetu u karibu zaidi sasa kuliko wakati ule tulipoanza kuamini.
James 1:3kwani mwajua kwamba imani yenu ikisha stahimili, itawapatieni uvumilivu.