2 Petro 1:5
Kwa sababu hiyo, fanyeni bidii ya kuongeza fadhila katika imani yenu: ongezeni elimu katika fadhila yenu,
Biblia Takatifu
In The King James Version
And beside this, giving all diligence, add to your faith virtue; and to virtue knowledge;
In Context
Cross References
Luke 24:21Lakini sisi tulitumaini kwamba yeye ndiye angeikomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu mambo hayo yalipotendeka.
1 Corinthians 14:20Ndugu, msiwe kama watoto katika fikira zenu. Kuhusu uovu muwe kama watoto wachanga lakini katika kufikiri ni lazima muwe kama watu waliokomaa.
Ephesians 5:17Kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya Bwana.