2 Petro 1:7
udugu katika uchaji wenu, na mapendo katika udugu wenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And to godliness brotherly kindness; and to brotherly kindness charity.
In Context
Cross References
John 13:34Nawapeni amri mpya: pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda ninyi.
1 Corinthians 13:1Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele.
Colossians 3:14Zaidi ya hayo yote, zingatieni upendo kwani upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili.
1 Thessalonians 4:9Hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya kuwapenda ndugu zenu waumini. Ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu namna mnavyopaswa kupendana.
Hebrews 13:1Endeleeni kupendana kidugu.
1 Peter 2:17Waheshimuni watu wote, wapendeni ndugu zenu waumini, mcheni Mungu, mheshimuni mfalme.