2 Timotheo 2:13
Tukikosa kuwa waaminifu, yeye hubaki mwaminifu daima, maana yeye hawezi kujikana mwenyewe.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
If we believe not, yet he abideth faithful: he cannot deny himself.
In Context
12Tukiendelea kuvumilia, tutatawala pia pamoja naye. Tukimkana, naye pia atatukana.
Cross References
Matthew 24:35Naam, mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
Romans 9:6Sisemi kwamba ahadi ya Mungu imebatilika; maana si watu wote wa Israeli ni wateule wa Mungu.
1 Thessalonians 5:24Yeye anayewaita ninyi atafanya hivyo kwani ni mwaminifu.
Titus 1:2ambayo msingi wake ni tumaini la kupata uzima wa milele. Mungu ambaye hasemi uongo, alituahidia uzima huo kabla ya mwanzo wa nyakati,