2 Timotheo 2:23
Epuka ubishi wa kijinga na kipumbavu; wajua kwamba hayo huleta magomvi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But foolish and unlearned questions avoid, knowing that they do gender strifes.
In Context
24Mtumishi wa Bwana asigombane. Anapaswa kuwa mpole kwa watu wote, mwalimu mwema na mvumilivu,
Cross References
1 Timothy 4:7Lakini achana na hadithi zile zisizo za kidini na ambazo hazina maana. Jizoeshe kuishi maisha ya uchaji wa Mungu.
2 Timothy 2:14Basi, wakumbushe watu wako mambo haya, na kuwaonya mbele ya Mungu waache ubishi juu ya maneno. Ubishi huo haufai, ila huleta tu uharibifu mkuu kwa wale wanaousikia.
Titus 3:9Lakini jiepushe na ubishi wa kipumbavu, ugomvi na mabishano juu ya Sheria. Mambo hayo hayana faida yoyote na ni ya bure tu.