Matendo 12:2
Alimwua kwa upanga Yakobo ndugu yake Yohane.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he killed James the brother of John with the sword.
In Context
1Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.
Cross References
Matthew 20:23Yesu akawaambia, “Kweli mtakunywa kikombe changu, lakini kuketi kulia au kushoto kwangu si kazi yangu kupanga; jambo hilo watapewa wale waliowekewa tayari na Baba yangu.”
Mark 10:38Yesu akawaambia, “Hamjui mnachoomba! Je, mnaweza kunywa kikombe nitakachokunywa, au kubatizwa kama nitakavyobatizwa?”
Hebrews 11:37Walipigwa mawe, walipasuliwa vipandevipande, waliuawa kwa upanga. Walizungukazunguka wakiwa wamevaa ngozi za kondoo na ngozi za mbuzi, walikuwa watu maskini, walioteswa na kudhulumiwa.