Matendo 16:2
Timotheo alikuwa na sifa kubwa kati ya wale ndugu wa Lustra na Ikonio.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Which was well reported of by the brethren that were at Lystra and Iconium.
In Context
Cross References
Acts 13:51Basi, mitume wakayakung'uta mavumbi yaliyokuwa katika miguu yao kama onyo, kisha wakaenda Ikonio.
Acts 16:40Paulo na Sila walitoka gerezani, wakaenda nyumbani kwa Ludia. Huko walionana na ndugu waumini na baada ya kuwatia moyo wakaondoka.
1 Timothy 5:10na awe mwenye sifa nzuri: aliyewalea watoto wake vizuri, aliyewakaribisha wageni nyumbani kwake, aliyewaosha miguu watu wa Mungu, aliyewasaidia watu wenye taabu, na aliyejitolea kufanya mambo mema.
2 Timothy 3:11udhalimu na mateso yangu. Unayajua mambo yaliyonipata huko Antiokia, Ikonio na Lustra. Nilivumilia udhalimu mkubwa mno! Lakini Bwana aliniokoa katika mambo hayo yote.
Hebrews 11:2Maana wazee wa kale walipata kibali cha Mungu kwa sababu ya imani yao.