Matendo 16:4
Walipokuwa wanapita katika ile miji waliwapa watu yale maagizo yaliyotolewa na mitume na wazee kule Yerusalemu, wakawaambia wayazingatie.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
5Hivyo, yale makanisa yalizidi kuwa imara katika imani, na idadi ya waumini ikaongezeka kila siku.
Cross References
Acts 11:30Basi, wakafanya hivyo na kupeleka mchango wao kwa wazee wa kanisa kwa mikono ya Barnaba na Saulo.
Acts 15:6Basi, mitume na wazee walifanya mkutano maalum wa kuchunguza jambo hilo.