Matendo 17:21
Wananchi wa Athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Ephesians 5:16Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya.
2 Thessalonians 3:11Tunasema mambo hayo kwa sababu tumesikia kwamba wako baadhi yenu ambao ni wavivu na ambao hawafanyi chochote, isipokuwa tu kujiingiza katika mambo ya watu wengine.
2 Timothy 2:16Jiepushe na majadiliano ya kidunia na ya kipumbavu; kwani hayo huzidi kuwatenga watu mbali na Mungu.