bible.software › Matendo › Matendo 18 › Matendo 18:16
Matendo 18:16
Basi, akawafukuza kutoka mahakamani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he drave them from the judgment seat.
In Context
15Lakini kama ni shauri la ubishi kuhusu maneno na majina ya Sheria yenu, amueni ninyi wenyewe. Mimi sitaki kuwa hakimu wa mambo haya!”
17Nao wote wakamkamata Sosthene ambaye alikuwa kiongozi wa sunagogi, wakampiga palepale mbele ya mahakama. Lakini Galio hakujali kitendo hicho hata kidogo.
Read all of Matendo 18
Cross References
Revelation 12:16Lakini nchi ikamsaidia huyo mama: ikajifunua kama mdomo na kuyameza maji hayo yaliyotoka kinywani mwa hilo joka.
This Verse In Other Editions
Study Matendo 18:16