bible.software › Matendo › Matendo 19 › Matendo 19:30
Matendo 19:30
Paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when Paul would have entered in unto the people, the disciples suffered him not.
In Context
29Mji wote ukajaa ghasia. Wakawavamia Gayo na Aristarko, wenyeji wa Makedonia, ambao walikuwa wasafiri wenzake Paulo, wakakimbia nao mpaka kwenye ukumbi wa michezo.
31Maofisa wengine wa huo mkoa wa Asia, waliokuwa rafiki zake, walimtumia Paulo ujumbe wakimsihi asijihatarishe kwa kwenda kwenye ukumbi wa michezo.
Read all of Matendo 19
Cross References
Acts 17:22Basi, Paulo alisimama mbele ya baraza la Areopago, akasema, “Wananchi wa Athene! Ninaona kwamba ninyi, kwa vyovyote, ni watu wa dini sana.
This Verse In Other Editions
Study Matendo 19:30