Matendo 2:12
Wote walishangaa na kufadhaika huku wakiulizana, “Hii ina maana gani?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they were all amazed, and were in doubt, saying one to another, What meaneth this?
In Context
13Lakini wengine wakawadhihaki wakisema, “Watu hawa wamelewa divai mpya!”
Cross References
Luke 15:26Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: Kuna nini?
Acts 2:7Walistaajabu na kushangaa, wakisema, “Je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya?
Acts 17:20Vitu vingine tulivyosikia kwa masikio yetu vinaonekana kuwa viroja kwetu. Tungependa kujua mambo haya yana maana gani.”