Matendo 2:15
Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi?
Biblia Takatifu
In The King James Version
For these are not drunken, as ye suppose, seeing it is but the third hour of the day.
In Context
16Ukweli ni kwamba jambo hili ni lile alilosema nabii Yoeli:
Cross References
1 Thessalonians 5:5Ninyi nyote ni watu mnaoishi katika mwanga, watu wa mchana. Sisi si watu wa usiku, wala wa giza.