Matendo 20:13
Sisi tulipanda meli tukatangulia kwenda Aso ambako tungemchukua Paulo. Ndivyo alivyopanga; maana alitaka kufika huko kwa kupitia nchi kavu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
12Wale watu walimchukua yule kijana nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa.
14Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene.
Cross References
Mark 1:35Kesho yake, kabla ya mapambazuko, Yesu alitoka, akaenda mahali pa faragha kusali.
Mark 6:46Baada ya kuwaaga watu alikwenda mlimani kusali.