bible.software › Matendo › Matendo 22 › Matendo 22:11
Matendo 22:11
Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when I could not see for the glory of that light, being led by the hand of them that were with me, I came into Damascus.
In Context
10Basi, mimi nikauliza: Nifanye nini Bwana? Naye Bwana akaniambia: Simama, nenda Damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.
12“Huko kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Anania, mtu mcha Mungu, mwenye kuitii Sheria yetu na aliyeheshimika sana mbele ya Wayahudi waliokuwa wanaishi Damasko.
Read all of Matendo 22
Cross References
Acts 9:8Saulo aliinuka, na alipofumbua macho yake hakuweza kuona chochote; hivyo wale watu wakamwongoza kwa kumshika mkono mpaka mjini Damasko.
This Verse In Other Editions
Study Matendo 22:11