Matendo 26:1
Basi, Agripa akamwambia Paulo, “Unaruhusiwa kujitetea.” Hapo Paulo alinyosha mkono wake akajitetea hivi:
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
John 7:51“Je, Sheria yetu humhukumu mtu kabla ya kumsikia kwanza na kujua anafanya nini?”
Acts 22:1“Ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni sasa nikijitetea mbele yenu!”
Acts 26:2“Mfalme Agripa, ninajiona mwenye bahati leo kujitetea mbele yako kuhusu yale mashtaka yote ambayo Wayahudi walikuwa wamesema juu yangu.