Matendo 27:38
Baada ya kila mmoja kula chakula cha kutosha, walipunguza uzito wa meli kwa kutupa nafaka baharini.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when they had eaten enough, they lightened the ship, and cast out the wheat into the sea.
In Context
37Jumla tulikuwa watu mia mbili na sabini na sita katika meli.
Cross References
Matthew 16:26lakini mtu anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata. Je, mtu atafaidi nini akiupata utajiri wote wa ulimwengu na hali amepoteza maisha yake? Au, mtu atatoa kitu gani kiwe badala ya maisha yake?
Acts 27:18Dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.