Matendo 3:13
Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo, Mungu wa baba zetu amemtukuza Yesu mtumishi wake. Yeye ndiye yuleyule mliyemtia mikononi mwa wakuu na kumkataa mbele ya Pilato hata baada ya Pilato kuamua kumwacha huru.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 20:19Watamkabidhi kwa watu wa mataifa mengine ili adhihakiwe, apigwe viboko na kusulubiwa; lakini siku ya tatu atafufuliwa.”
Matthew 27:2Wakamfunga pingu, wakamchukua, wakamkabidhi kwa Pilato, mkuu wa mkoa.
Matthew 28:18Yesu akaja karibu, akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Luke 22:57Lakini Petro akakana akisema, “Wee! simjui mimi.”