Matendo 3:8
Akaruka, akasimama na kuanza kutembea. Halafu akaingia pamoja nao Hekaluni, akitembea na kurukaruka huku akimtukuza Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
7Halafu, akamshika mkono wa kulia, akamwinua. Papo hapo miguu na magoti yake yakapata nguvu.
9Watu wote waliokuwa hapo walimwona akitembea na kumsifu Mungu.
Cross References
Luke 17:15Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa.
John 5:8Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.”
Acts 14:10akasema kwa sauti kubwa, “Simama wima kwa miguu yako!” Huyo mtu aliyelemaa akainuka ghafla, akaanza kutembea.