Matendo 6:7
Neno la Mungu likazidi kuenea na idadi ya waumini huko Yerusalemu ikaongezeka zaidi, na kundi kubwa la makuhani wakaipokea imani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
6Wakawaweka mbele ya mitume, nao wakawaombea na kuwawekea mikono.
Cross References
Matthew 19:30Lakini walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
John 12:42Hata hivyo, wengi wa viongozi wa Wayahudi walimwamini Yesu. Lakini kwa sababu ya Mafarisayo, hawakumkiri hadharani kwa kuogopa kwamba watatengwa na sunagogi.
Acts 13:8Lakini huyo mchawi Elima (kama alivyokuwa anaitwa kwa Kigiriki), alijaribu kuwapinga ili kumzuia huyo mkuu wa kisiwa asije akaigeukia imani ya Kikristo.
Acts 19:20Kwa namna hiyo, neno la Bwana lilizidi kuenea na kuwa na nguvu zaidi.