Matendo 7:1
Basi, Kuhani Mkuu akamwuliza, “Je, mambo haya ni kweli?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then said the high priest, Are these things so?
In Context
Cross References
Matthew 26:61wakasema, “Mtu huyu alisema: Ninaweza kuliharibu Hekalu la Mungu na kulijenga tena kwa siku tatu.”
John 18:19Basi, Kuhani akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.
Acts 6:13Walileta Barazani mashahidi wa uongo ambao walisema, “Mtu huyu haachi kamwe kusema maneno ya kupakashifu mahali hapa patakatifu na Sheria ya Mose.