bible.software › Matendo › Matendo 8 › Matendo 8:38
Matendo 8:38
Basi, huyo ofisa akaamuru lile gari lisimame; na wote wawili, Filipo na huyo ofisa wakashuka majini, naye Filipo akambatiza.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he commanded the chariot to stand still: and they went down both into the water, both Philip and the eunuch; and he baptized him.
In Context
37Filipo akasema, “Kama unaamini kwa moyo wako wote unaweza kubatizwa.” Naye akajibu, “Naam, ninaamini kwamba Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu.”
39Walipotoka majini Roho wa Bwana akamfanya Filipo atoweke. Na huyo Mwethiopia hakumwona tena; lakini akaendelea na safari yake akiwa amejaa furaha.
Read all of Matendo 8
Cross References
John 4:1Mafarisayo walisikia kwamba Yesu alikuwa anabatiza na kuwapata wanafunzi wengi kuliko Yohane.
This Verse In Other Editions
Study Matendo 8:38