Wakolosai 3:18
Enyi akina mama, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Wives, submit yourselves unto your own husbands, as it is fit in the Lord.
In Context
19Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao.
Cross References
Acts 5:29Hapo Petro, akiwa pamoja na wale mitume wengine, akajibu, “Lazima tumtii Mungu, na siyo binadamu.
1 Corinthians 14:34Kama ilivyo desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu, wanawake wakae kimya katika mikutano ya waumini. Hawana ruhusa kusema; ila wawe watii kama isemavyo Sheria.
Ephesians 5:22Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana.
Titus 2:4ili wawazoeze kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto,