bible.software › Wakolosai › Wakolosai 4 › Wakolosai 4:16
Wakolosai 4:16
Mkisha soma barua hii, hakikisheni kwamba inasomwa na Wakristo wa Laodikea; na ninyi fanyeni mpango mpate kuisoma barua waliyoipata kwao.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when this epistle is read among you, cause that it be read also in the church of the Laodiceans; and that ye likewise read the epistle from Laodicea.
In Context
15Salamu zetu kwa ndugu zetu wa Laodikea; msalimuni dada Nimfa pamoja na jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.
17Mwambieni Arkipo aitekeleze vizuri ile huduma aliyokabidhiwa na Bwana.
Read all of Wakolosai 4
Cross References
1 Thessalonians 5:27Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.
This Verse In Other Editions
Study Wakolosai 4:16