Waebrania 10:13
Huko anangoja mpaka adui zake watakapowekwa kama kibao chini ya miguu yake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
From henceforth expecting till his enemies be made his footstool.
In Context
14Basi, kwa dhabihu yake moja tu, amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wanaotakaswa dhambi zao.
Cross References
Mark 12:36Daudi mwenyewe akiongozwa na Roho Mtakatifu alisema: Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia, Mpaka nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.”
Acts 2:35hadi nitakapowafanya adui zako kibao cha kukanyagia miguu yako.
Hebrews 1:13Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke adui zako chini ya miguu yako.”