bible.software › Waebrania › Waebrania 10 › Waebrania 10:2
Waebrania 10:2
Kama hao watu wanaomwabudu Mungu wangekuwa wametakaswa dhambi zao kweli, hawangejisikia tena kuwa na dhambi, na dhabihu hizo zote zingekoma.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For then would they not have ceased to be offered? because that the worshippers once purged should have had no more conscience of sins.
In Context
1Sheria ya Wayahudi si picha kamili ya mambo yale halisi: ni kivuli tu cha mema yanayokuja. Dhabihu zilezile hutolewa daima, mwaka baada ya mwaka. Sheria yawezaje, basi, kwa njia ya dhabihu hizo, kuwafanya wale wanaoabudu wawe wakamilifu?
3Lakini dhabihu hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao.
Read all of Waebrania 10
Cross References
Hebrews 10:17Kisha akaongeza kusema: “Sitakumbuka tena dhambi zao, wala vitendo vyao vya uhalifu.”
This Verse In Other Editions
Study Waebrania 10:2