Waebrania 10:31
Kuanguka mikononi mwa Mungu aliye hai ni jambo la kutisha mno!
Biblia Takatifu
In The King James Version
It is a fearful thing to fall into the hands of the living God.
In Context
Cross References
Matthew 16:16Simoni Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”
Luke 21:11Kila mahali kutakuwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi, kutakuwa na njaa na tauni. Kutakuwa na vituko vya kutisha na ishara kubwa angani.
Hebrews 12:29maana Mungu wetu kweli ni moto mkali unaoteketeza.