Waebrania 10:5
Ndiyo maana Kristo alipokuwa anakuja ulimwenguni, alimwambia Mungu: “Hukutaka dhabihu wala sadaka, lakini umenitayarishia mwili.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
4Maana damu ya fahali na mbuzi haiwezi kamwe kuondoa dhambi.
6Sadaka za kuteketezwa au za kuondoa dhambi hazikupendezi.
Cross References
Matthew 11:3wamwulize: “Je, wewe ni yule anayekuja, au tumngoje mwingine?”
Luke 7:19aliwatuma kwa Bwana wamwulize: “Wewe ndiye yule ajaye, au tumtazamie mwingine?”