bible.software › Waebrania › Waebrania 12 › Waebrania 12:8
Waebrania 12:8
Lakini msipoadhibiwa kama wana wengine, basi, ninyi si wanawe, bali ni wana haramu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But if ye be without chastisement, whereof all are partakers, then are ye bastards, and not sons.
In Context
7Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea ninyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?
9Zaidi ya hayo sisi tunawaheshimu wazazi wetu waliotuzaa hata wanapotuadhibu. Basi, tunapaswa kumtii zaidi Baba yetu wa kiroho ili tupate kuishi.
Read all of Waebrania 12
Cross References
Hebrews 12:6Maana Bwana humwadhibu kila anayempenda, humpinga kila anayekubali kuwa mwanae.”
This Verse In Other Editions
Study Waebrania 12:8