Waebrania 13:25
Tunawatakieni nyote neema ya Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
24Wasalimieni viongozi wenu wote pamoja na watu wa Mungu! Ndugu wa Italia wanawasalimuni.
Cross References
Romans 16:20Naye Mungu aliye chanzo cha amani hatakawia kumponda Shetani chini ya miguu yenu. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi.
Ephesians 6:24Nawatakia neema ya Mungu wote wanaompenda Bwana wetu Yesu Kristo kwa mapendo yasiyo na mwisho.
2 Timothy 4:22Bwana awe nawe rohoni mwako. Nawatakieni nyote neema.
Revelation 22:21Nawatakieni nyote neema ya Bwana Yesu. Amen.