Waebrania 3:1
Ndugu zangu watu wa Mungu ambao mmeitwa na Mungu, fikirini juu ya Yesu ambaye Mungu alimtuma awe Kuhani Mkuu wa imani tunayoiungama.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
John 20:21Yesu akawaambia tena, “Amani kwenu! Kama vile Baba alivyonituma mimi, nami nawatuma ninyi.”
Romans 1:6Ninyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.