The Bible Software
bible.software › Waebrania › Waebrania 3 › Waebrania 3:18

Waebrania 3:18

Mungu alipoapa: “Hawataingia huko ambako ningewapa pumziko,” alikuwa anawasema akina nani? Alikuwa anasema juu ya hao walioasi.

Biblia Takatifu

In The King James Version

And to whom sware he that they should not enter into his rest, but to them that believed not?

In Context

17Mungu aliwakasirikia akina nani kwa miaka arobaini? Aliwakasirikia wale waliotenda dhambi, maiti zao zikatapakaa kule jangwani.

19Basi, twaona kwamba hawakuingia huko kwa sababu hawakuamini.

Read all of Waebrania 3

Cross References

Hebrews 3:11Basi, nilikasirika, nikaapa: Hawataingia huko ambako ningewapa pumziko.”

Hebrews 4:6Wale waliotangulia kuhubiriwa Habari Njema hawakupata pumziko hilo kwa sababu hawakuamini. Wapo, basi, wengine ambao wangejaliwa kulipata.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Waebrania 3:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 3:17Waebrania 3Waebrania 3:19 →