Waebrania 6:13
Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa jina lake mwenyewe, maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For when God made promise to Abraham, because he could swear by no greater, he sware by himself,
In Context
14Mungu alisema: “Hakika nitakubariki na nitakupa wazawa wengi.”
Cross References
Luke 1:73Kiapo alichomwapia Abrahamu baba yetu, ni kwamba atatujalia sisi