Waebrania 6:2
mafundisho juu ya ubatizo na kuwekewa mikono; ufufuo wa wafu na hukumu ya milele.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
3tusonge mbele! Hayo tutayafanya, Mungu akitujalia.
Cross References
Matthew 20:22Yesu akajibu, “Hamjui mnaomba nini. Je, mnaweza kunywa kikombe nitakachokunywa mimi?” Wakamjibu, “Tunaweza.”
Matthew 25:31“Wakati Mwana wa Mtu atakapokuja katika utukufu wake na malaika wote wakiwa pamoja naye, hapo ataketi juu ya kiti chake cha enzi kitukufu,
Mark 7:4Tena hawali kitu chochote kutoka sokoni mpaka wamekiosha kwanza. Kuna pia desturi nyingine walizopokea kama vile namna ya kuosha vikombe, sufuria na vyombo vya shaba.
Mark 16:16Anayeamini na kubatizwa ataokolewa; asiyeamini atahukumiwa.