Waebrania 6:9
Lakini, ingawa twasema namna hii, wapenzi wetu, tunalo tumaini kubwa juu ya hali yenu. Tunajua kwamba mmepokea baraka zile bora za wokovu wenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 5:3“Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Acts 11:18Waliposikia hayo, waliacha ubishi, wakamtukuza Mungu wakisema, “Mungu amewapa watu wa mataifa mengine nafasi ya kutubu na kuwa na uzima!”
1 Corinthians 10:14Kwa hiyo, wapenzi wangu, epeni ibada za sanamu.
Galatians 5:6Maana ikiwa tumeungana na Kristo Yesu, kutahiriwa au kutotahiriwa hakuna maana; cha maana ni imani ifanyayo kazi kwa mapendo.
Titus 2:11Maana neema ya Mungu imedhihirishwa kwa ajili ya wokovu wa watu wote.