bible.software › Waebrania › Waebrania 9 › Waebrania 9:18
Waebrania 9:18
Ndiyo maana hata lile agano la kwanza halikuwekwa bila damu kumwagwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Whereupon neither the first testament was dedicated without blood.
In Context
17Wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.
19Kwanza Mose aliwatangazia watu wote amri zote kama ilivyokuwa katika Sheria; kisha akachukua damu ya ndama pamoja na maji, na kwa kutumia majani ya mti uitwao husopo na pamba nyekundu, akakinyunyizia kile kitabu cha Sheria na hao watu wote.
Read all of Waebrania 9
Cross References
Hebrews 8:7Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa na dosari, hakungalikuwa na haja ya agano la pili.
Hebrews 9:22Naam, kadiri ya Sheria karibu kila kitu chaweza kutakaswa kwa damu, na dhambi nazo zaondolewa tu ikiwa damu imemwagwa.
This Verse In Other Editions
Study Waebrania 9:18