Yakobo 1:14
Lakini mtu hujaribiwa anapovutwa na kunaswa na tamaa zake mbaya.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But every man is tempted, when he is drawn away of his own lust, and enticed.
In Context
15Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo.
Cross References
Matthew 15:18Lakini yale yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu najisi.