Yakobo 1:21
Kwa hiyo, tupilieni mbali mwenendo mchafu na tabia zote mbovu; jiwekeni chini ya Mungu na kupokea ule ujumbe uliopandwa mioyoni mwenu, ambao waweza kuziokoa nafsi zenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
20Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya Mungu yaliyo ya haki.
22Msijidanganye wenyewe kwa kusikiliza tu neno lake, bali litekelezeni kwa vitendo.
Cross References
Matthew 5:5Heri walio wapole, maana watairithi nchi.
John 6:68Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tutakwenda kwa nani? Wewe unayo maneno yaletayo uzima wa milele.