Yakobo 1:8
asidhani ya kwamba atapata chochote kile kutoka kwa Bwana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
A double minded man is unstable in all his ways.
In Context
7Mtu wa namna hiyo, mwenye nia mbili na asiye na msimamo katika mwenendo wake wote,
9Ndugu aliye maskini anapaswa kufurahi wakati Mungu anapomkweza,
Cross References
Matthew 6:24“Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili. Maana atamchukia mmoja na kumpenda huyo wa pili; au ataambatana na mmoja na kumdharau huyo mwingine. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali pamoja.
2 Peter 2:14Macho yao yamejaa uzinzi na uwezo wao wa kutenda dhambi hauna kikomo. Huwaongoza watu walio dhaifu mpaka mitegoni. Mioyo yao imezoea kuwa na tamaa ya mali. Wapo chini ya laana ya Mungu!