Yakobo 4:10
Nyenyekeeni mbele ya Bwana, naye atawainueni.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Humble yourselves in the sight of the Lord, and he shall lift you up.
In Context
9Oneni huzuni, lieni na kuomboleza; kicheko chenu na kiwe kilio; na furaha yenu iwe huzuni kubwa.
Cross References
Matthew 23:12Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa.
Luke 14:11Kwa maana yeyote anayejikweza atashushwa, na anayejishusha, atakwezwa.”
James 4:6Lakini, neema tunayopewa na Mungu ina nguvu zaidi; kama yasemavyo Maandiko: “Mungu huwapinga wenye majivuno lakini huwapa neema wanyenyekevu.”