Yohana 1:35
Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Again the next day after John stood, and two of his disciples;
In Context
34Mimi nimeona na ninawaambieni kwamba huyu ndiye Mwana wa Mungu.”
36Alipomwona Yesu akipita akasema, “Tazameni! Huyu ndiye Mwana-kondoo wa Mungu.”
Cross References
John 3:25Ubishi ulitokea kati ya baadhi ya wanafunzi wa Yohane na Myahudi mmoja kuhusu desturi za kutawadha.