The Bible Software
bible.software › Yohana › Yohana 1 › Yohana 1:9

Yohana 1:9

Huu ndio mwanga halisi, mwanga unaokuja ulimwenguni, na kuwaangazia watu wote.

Biblia Takatifu

In The King James Version

That was the true Light, which lighteth every man that cometh into the world.

In Context

8Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga.

10Basi, Neno alikuwako ulimwenguni; na kwa njia yake ulimwengu uliumbwa, lakini ulimwengu haukumtambua.

Read all of Yohana 1

Cross References

John 1:4Yeye alikuwa chanzo cha uhai na uhai huo ulikuwa mwanga wa watu.

John 6:32Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, Mose hakuwapeni mkate kutoka mbinguni; Baba yangu ndiye awapaye ninyi mkate halisi kutoka mbinguni.

John 12:46Mimi ni mwanga, nami nimekuja ulimwenguni ili wote wanaoniamini wasibaki gizani.

John 15:1“Mimi ni mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima.

1 John 1:8Tukisema kwamba hatuna dhambi, tunajidanganya wenyewe na ukweli haumo ndani yetu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Yohana 1:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← Yohana 1:8Yohana 1Yohana 1:10 →